Search

290 results for Victor Tullo :

  1. Wawekezaji wa China wajipanga kuwekeza Sh200 bilioni Tanzania

    Maeneo yaliyotajwa kwa ajili ya uzalishaji wa umeme wa jua ni Iringa, Morogoro, Dodoma na Singida, huku yale yaliyotajwa kwa ajili ya umeme wa upepo ni Arusha, Dodoma na Iringa.

  2. Ubunifu, teknolojia kubeba dira ya maendeleo 2050

    Ubunifu na Teknolojia vyatajwa nguzo muhimu katika utekelezaji wa dira ya maendeleo 2050, huku changamoto za dira ya maendeleo 2025 zikibainishwa.

  3. Zungu ataka mazingira yalindwe ili kupunguza joto duniani

    Naibu Spika wa Bunge, Mussa Zungu amesema Kila mtu ana jukumu la kulinda mazingira ili kukabiliana na ongezeko la joto linalosababishwa na mabadiliko ya tabianchi.

  4. PRIME Serikali inavyokabili upatikanaji gesi kwenye magari

    Unaweza kusema hatua hii itapunguza kiu ya wengi, baada ya Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Petroli Tanzania (TPDC), Mussa Makame kueleza uwepo wa vituo vya gesi ya kwenye magari (CNG) vitano...

  5. PRIME Sababu wanafunzi kuchelewa majumbani wakishinda vituo vya daladala, treni

    Hali hiyo imekuwa ikilalamikiwa na wazazi na wadau mbalimbali wakidai inatokana na wanafunzi kupangiwa shule za mbali wakati kuna nyingine zilizopo jirani na maeneo wanayoishi.

  6. Marekani yang’ata, kupuliza vita vya Israel na Palestina

    Misaada ya Marekani huko Gaza imetafsiriwa tofauti huku ikiaminika ni katika harakati za kurejesha imani duniani baada ya kuiunga mkono Israel katika vita vilivyosababisha vifo vya maelfu ya...

  7. VIDEO: Hatua kwa hatua saa 2:20 SGR Dar-Moro

    Treni hiyo ilianza safari kwa mwendo wa kawaida, huku baadhi ya wakazi maeneo iilipokuwa ikipita, wakiacha shughuli zao na kuifurahia. Wengine walipungia mikono na wengine kuchukua video na picha...

  8. Balozi Kamala afariki dunia

    Mwaka 2011 aliteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na Uholanzi ambako alitumikia nafasi hiyo hadi mwaka 2015 aliporejea kuwa mbunge hadi mwaka 2020.

  9. Vijana wahimizwa kutumia ujuzi walionao kusaidia jamii

    Shirika hilo mbali na kuwatumia vijana kwenye progamu zao shirikishi, pia huwajengea uwezo kwenye fani walizonazo.

  10. PRIME Makonda anapambana na nani?

    “Sasa tunajua hali yetu si njema. Hakuna utawala wa sheria wala wa mfumo. Sasa tunajua hasara za kukaa gizani...

Page 1 of 29

Next